Watumishi wa mochwari nchini walia kuwa vibarua

Baadhi ya wahudumu wa mochwari

Wahudumu wa vyumba vya kuhifadhia maiti wameiomba serikali kuwawekea mtaala wa mafunzo ya fani hiyo katika vyuo vya serikali pamoja na kuomba kuwekwa kwenye mfumo  wa ajira rasmi za serikali kama ilivyo kwa watumishi wengine wa afya kwani kwa sasa wamekuwa wakifanya kazi kama vibarua.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS