Tanzania kuikabili Nigeria Oktoba 22

Nyota 28 wa kikosi cha Tanzania chini ya umri wa miaka 23 kinataraji kuingia kambini kesho kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa kuwania kufuzu kwa michuano ya AFCON 2023 dhidi ya Nigeria utakaochezwa Oktoba 22-2022 Jijini Dar Es Salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS