Rais Samia ateua Wakili Mkuu wa serikali Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Boniphace Christopher Luhembe kuwa Wakili Mkuu wa serikali na Bi. Sarah Duncan Mwaipopo kuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Read more about Rais Samia ateua Wakili Mkuu wa serikali