Jumatatu , 10th Oct , 2022

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Boniphace Christopher Luhembe kuwa Wakili Mkuu wa serikali na Bi. Sarah Duncan Mwaipopo kuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali

Dkt. Luhende alikuwa Naibu wakili Mkuu wa serikali na anachukua nafasi ya Bwana Gabriel Malata ambaye aliteuliwa kuwa Jaji wa mahakama kuu

Naye Bi Mwaipopo alikuwa Wakili Mkuu wa serikali katika Ifisi ya mMwanasheria Mkuu wa Serikali na anachukua nafasi ya Dkt. Luhende ambaye ameteuliwa kuwa wakili mkuu wa serikali

Uteuzi huo umeanza leo Oktoba 09/2022