Wachomwa moto mpaka kufa nchini Libya. Umoja wa mataifa umezitaka mamlaka za nchini Libya kufanya uchunguzi huru na haki kufuatia mauaji ya wahamiaji 15 karibu na Pwani ya Sabratha. Read more about Wachomwa moto mpaka kufa nchini Libya.