Mafuriko yaua 25 Vanezuela Takribani watu 25 wamepoteza maisha huku wengine 50 wakiwa hawajulikani walipo baada ya maporomoko ya udongo kuyakumba makazi yao huko nchini Venezuela katika mji wa Las Tejerías. Read more about Mafuriko yaua 25 Vanezuela