Max Verstappen Bingwa Mpya Langalanga 2022
Dereva wa Red Bull Max Verstappen ameshinda ubingwa wa Langa Langa (Formula 1) msimu huu wa 2022 baada ya kuibuka mshindi kwenye mbio za Japan Grand Prix na kumfanya kufikisha alama 366 na kutwaa ubingwa wa pili mfululizo.