Kituo cha afya Misasi chakabiliwa na uhaba wa maji Kituo cha afya Misasi kilichopo wilayani Misungwi mkoani Mwanza kinakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa maji, uchakavu na upungufu wa majengo na vitanda pamoja na upungufu wa watumishi. Read more about Kituo cha afya Misasi chakabiliwa na uhaba wa maji