Madai ya wananchi kutapeliwa yaanza kuchunguzwa
Ofisi ya Mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya Jinai kwa kushirikiana na taasisi nyingine za uchunguzi na za kifedha wameanza uchunguzi wa madai ya wananchi kutapeliwa na kampuni inayofahamika kama Kalynda E-Commerce Ltd huku wananchi wakitakiwa kuwa makini na matapeli wa mitandaoni