Rais Samia atembelea kaburi la Hayati Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Octoba 15, 2022 ametembelea na kuomba dua kwenye kaburi la Hayati Dkt. John Pombe Magufuli na kumsalimia Mama mzazi wa Hayati Dk. Magufuli Bibi Suzana Magufuli.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS