Nzi hatari kwa binadamu agundulika Marekani
New World screwworm (NWS) Myiasissi ambavyo ni vimelea vya inzi vilipatikana kwa mgonjwa aliyerejea Marekani kutoka El Salvador, Idara ya Afya na Huduma za Kibinadamu ilisema Jumatatu. Kisa hicho kilithibitishwa tarehe 4 Agosti.

