RC Chalamila awataka viongozi kuepuka mivutano
Viongozi na watendaji wa serikali katika ngazi mbalimbali mkoani Kagera, wametakiwa kuepuka kuzua mivutano pindi wanapojitokeza wawekezaji na wadau wa maendeleo kufanya uwekezaji katika maeneo ya mkoa huo