Kundi la tisa lahama Ngorongoro kwenda Msomera
Kundi la tisa la wakazi wenyeji wa eneo la hifadhi ya Ngorongoro limeondoka leo Septemba 15/2022 kuelekea kijiji cha Msomera na kufanya idadi ya kaya zilizohama eneo hilo kufikia 213 zenye Watu 1233 na Mifugo 7442