Watoto milioni 3.4 wahitaji msaada

Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia watoto na wanawake  UNICEF , limesema kwamba mafuriko makubwa nchini Pakistan yamesababisha takribani watoto milioni  3.4 kuhitaji msaada wa haraka wa kuokoa maisha yao .

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS