Hakuna wa kumfikia Drake kwenye mauzo Duniani Msanii wa hip hop kutoka Canada, Drake, ameendelea kuthibitisha ubora wake katika muziki wa kimataifa baada ya kutajwa kuwa rapa anayeuza zaidi duniani kwa miaka 11 mfululizo. Read more about Hakuna wa kumfikia Drake kwenye mauzo Duniani