CCM yawaomba Watanzania kuwa watulivu kuhusu tozo
Chama cha Mapinduzi (CCM), kimewaomba Watanzania kuendelea kuwa watulivu na kukiamini chama hicho kwani tayari kimeshakutoa maelekezo kwa serikali juu ya namna ya kushughulikia malalamiko ya wananchi yanayohusu tozo za kielektroniki.