Parachichi moja Ulaya linauzwa elfu 10
Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Jestas Nyamanga, amewataka Watanzania kuchangamkia fursa ya soko kubwa la Parachichi aina ya hasi yenye viupeleupele kwa kuwa thamani yake ni kubwa na linauzwa kati ya zaidi ya shilingi elfu 10 nchini humo.