Simbachawene ataka jukwaa maalum
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), George Simbachawene amemtaka Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba kuwa na jukwaa maalumu kwa ajili ya kutoa ufafanuzi juu ya mambo yanayojadiliwa mtandaoni.