Watu wawili wauawa katika mgogoro wa ardhi Watu wawili wameuawa kikatili katika Kijiji cha Kidalimanda Kata ya Bunamhala Wilaya ya Bariadi Mkoa wa Simiyu, huku chanzo cha mauaji hayo kikitajwa kuwa ni mgogoro wa ardhi wa muda mrefu Read more about Watu wawili wauawa katika mgogoro wa ardhi