Tozo za mabenki zafutwa Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba Serikali imefuta tozo ya miamala ya kielektroniki ya kuhamisha fedha kutoka benki kwenda mitandao ya simu na miamala ya simu kwenda benki. Read more about Tozo za mabenki zafutwa