Serikali yatoa wito wa kubireshwa eneo la Laitoli
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Chana ametoa wito kwa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) kuangalia namna bora ya kuliboreaha eneo la Laitoli lenye nyayo zinazosadikiwa kuwa ni za binadamu wa kale walioishi miaka milioni 3.6 iliyopita ili kuiingizia Serikali mapato