Simba wapata mwaliko maalumu kutoka Al Hilal kikosi cha Simba. Kikosi chetu kimepokea mwaliko maalumu kutoka kwa Klabu ya Al Hilal ya Sudan kushiriki michuano maalum ambayo itaanza kufanyika wiki ijayo. Read more about Simba wapata mwaliko maalumu kutoka Al Hilal