Mbunge ampongeza Rais Samia kwa mageuzi aliyofanya

Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile

Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Dodoma Mariam Ditopile, amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan, kwa mageuzi makubwa aliyoyafanya katika sekta ya kilimo ambapo kwa mara ya kwanza bajeti ya uzalishaji wa mbegu imeongezeka kutoka shilingi bilioni 10.5 hadi bilioni 43.03.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS