Baa yaungua moto Manzese Sehemu ya baa iliyoungua Baa ya Star Break iliyopo Manzese jijini Dar es Salaam imeungua kwa moto hii leo Agosti 22, 2022, majira ya saa 2:00 asubuhi. Read more about Baa yaungua moto Manzese