Radi yaua watatu wa familia moja

Radi

Watu watatu wa familia moja, wakazi wa kitongoji cha Idoselo, Kijiji cha Kasesa Kata ya Kaseme wamefariki dunia baada ya kupigwa na radi iliyoambatana na mvua kali iliyonyesha jana Agosti 16, 2022, majira ya saa 5:00 asubuhi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS