Familia yakanusha mtoto kufariki kisa kipigo shule
Familia ya mtoto aliyefariki dunia, Bennet Laurence Kiwelu mwanafunzi wa darasa la 5 Shule ya Msingi Mount Sayuni ya Dar es Salaam kwa kile kilichodaiwa kuwa ni baada ya kushambuliwa na mwalimu shuleni Jumatatu iliyopita, imesema kuwa taarifa hizo siyo za kweli.


