Maeneo yote yanayohifadhiwa kisheria kulindwa
Wizara ya Maliasili na Utalii nchini imekubaliana na Azimio la Bunge la kuridhia itifaki ya mkataba wa Umoja wa Nchi Uhuru za Afrika wa kuzuia na kupambana na ugaidi wa mwaka 2004 lililowasiliwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhandisi Hamad Masauni.

