Bodaboda auawa na pikipiki yake kuchukuliwa
Dereva bodaboda aitwaye Hassani Abeid, ameuawa na watu wasiojulikana baada ya kumvamia na kumchoma na kitu chenye ncha kali shingoni na kumnyang’anya pikipiki yake katika mtaa wa Sawe wilayani Babati mkoani Manyara.