Polisi wawakamata vishandu 91 Morogoro
Jeshi la polisi mkoa wa Morogoro linawashikilia watu 101 kwa tuhuma mbalimbali wakiwemo vijana 91 kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya uporaji simu na mikoba ya wakinamama kwa kutumia pikipiki maarufu kama vishandu.

