Kimbunga Nanmadol kuipiga Japan kesho. Maelfu ya raia wa nchini Japan wametakiwa kuondoka kwenye makazi yao kutokana na onyo la uwepo wa kimbunga hatari kinachotarajiwa kupiga maporomoko ya Kyushu siku ya kesho Read more about Kimbunga Nanmadol kuipiga Japan kesho.