Shule nchini Kenya zaendelea kufungwa

Waziri wa Elimu nchini Kenya, George Magoha

Waziri wa Elimu nchini Kenya George Magoha, ametangaza kuwa shule nchini humo zitafunguliwa tena Jumatatu ya Agosti 15 badala ya kesho Agosti 11, 2022, kutokana na kuendelea kwa zoezi la uhesabuji wa kura.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS