Raila alilia tume huru ya uchaguzi. Mwanasiasa Raila Odinga aliyeshindwa kinyangányiro cha uchaguzi mkuu uliofanyika Kenya, ametaka tume ya uchaguzi ya mipaka ya nchi hiyo kufanyiwa marekebisho ili kuwa na matokeo sahihi ya chaguzi zijazo. Read more about Raila alilia tume huru ya uchaguzi.