Nape aitaka TCRA kutoa tuzo ya maudhui
Waziri wa habari Nape Nnauye ameitaka Mamlaka ya mawasiliano kuona namna ya kuandaa tuzo maalum Kwa watu watakaoweza kuzalisha maudhui bora ya ndani na kuipa thamani pamoja na kuweka utaratibu na kanuni zitakazowatambua wazalishaji binafsi Ili watakaofanya vizuri maudhui yao yatumike.

