Katibu Mkuu Kiongozi wa zamani nchini afariki

Balozi Paul Rupia

Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi mnamo mwaka 1986 hadi 1995 na kushika nyadhifa mbalimbali katika wizara, Balozi Paul Rupia, amefariki dunia nchini Afrika Kusini hii leo Septemba 16, 2022.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS