Tanzania yakabiliwa na mabadiliko ya tabia nchi
Tanzania inaendelea kubainishwa kama nchi iliyo hatarini kukabiliwa na athari za mabadiliko tabia ya nchi inayotishia ukuaji wa uchumi na maendeleo endelevu huku suluhisho ikitajwa kuwa ni kutumia nishati mbadala ikiwa ni mfumo salama wa matumizi ya Nishati.