Taifa Stars kucheza na Uganda, Libya 'Taifa Stars' Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' Jumamosi Septemba 17 itaingia kambini kwa maandalizi ya mechi tatu za kirafiki kimataifa dhidi ya Libya na Uganda. Read more about Taifa Stars kucheza na Uganda, Libya