Tumieni mashine zinazozalishwa nchini - Dkt. Chana
Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana amewataka wadau wa sekta ya Misitu katika maeneo mbalimbali nchini kutumia mitambo na vifaa vinavyo tengenezwa nchini Tanzania kwa ajili ya shughuli za utayarishaji na uchakataji wa mazao ya Misitu