Dkt. Nchemba afanya ziara soko la Kariakoo
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amefanya ziara ya kushtukiza soko la Kariakoo na kuagiza mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutatua changamoto mbalimbali za wafanyabiashara wa Soko hilo ili kuchochea biashara katika soko