Serikali yapokea wawekezaji kutoka Marekani
Serikali ya Tanzania imezitaka Balozi zake nje ya nchi kutoa mwongozo kwa wafanyabiashara na wawekezaji wakubwa kutoka mataifa hayo ambao wameonesha nia ya kuja kuwekeza Tanzania ili kuepusha kudakwa na matapeli na kupotoshwa