Viongozi waaswa kutowarudisha nyuma wananchi
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana, amewataka viongozi kufanya kazi ya kuwasikiliza wananchi na kutatua kero zao badala ya kuwaongoza kwa kuwawekea sheria na miongozo ya kuwarudisha nyuma.