Polisi Tanzania watoa onyo mgomo wa madereva
Jeshi la Polisi nchini limetoa onyo kwa baadhi ya madereva wa magari makubwa ya mazigo wanaohamasisha mgomo wa madereva ili kuzuia magari mengine yasifanye shughuli za usafirishaji kwa kisingizio cha madai ya haki zao wanazodai kutoka kwa waajiri wao kutokuwalipa posho zao