Bodaboda watakiwa kuwa mabalozi wa Sensa
Rais Samia Suluhu Hassan, amewataka waendesha bodaboda na bajaji nchini kuhakikisha wanakuwa mabalozi wazuri katika zoezi la sensa huku akiwataka kulinda hadhi ya kazi zao kwa kuepuka kashifa ya vitendo vya uporaji na ujambazi kwani sekta yao ni muhimu.