Wawili wauawa Dodoma kwa wivu wa mapenzi

Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Dodoma, ACP Martini Otieno

Watu wawili wameuawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali katika mtaa wa Msangalale, Kata ya Dodoma Makulu jijini Dodoma huku wivu wa mapenzi ukitajwa kuwa chanzo cha vifo hivyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS