Wawili wauawa Dodoma kwa wivu wa mapenzi Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Dodoma, ACP Martini Otieno Watu wawili wameuawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali katika mtaa wa Msangalale, Kata ya Dodoma Makulu jijini Dodoma huku wivu wa mapenzi ukitajwa kuwa chanzo cha vifo hivyo. Read more about Wawili wauawa Dodoma kwa wivu wa mapenzi