Mbunge apigwa makofi na kumwagiwa maji
Vijana wenye hasira nchini Ghana katika eneo la Suame, wamempiga makofi, kumtukana pamoja na kummwagia maji mbunge wao, Osei Kyei Mensah-Bonsu, kwa kile walichokieleza kwamba licha ya kuwawakilisha bungeni, lakini hatimizi ahadi zake za kurekebisha miundombinu ya barabara.