JKT Queens na Simba Queens kuamua ubingwa kesho
Uhondo wa ligi kuu ya wanawake Tanzania Bara utarejea tena Jumatano hii Mei 7 ,2025 ambapo vinara wa ligi hiyo JKT Queens watakuwa nyumbani Meja Isamhuyo kuwakaribisha Simba Queens mabingwa watetezi wa michuano hiyo.