Makamu wa kwanza wa Rais afariki dunia
Rais wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan, ametangaza kifo cha David Cleopa Msuya, Makamu wa kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu kilichotokea leo Mei 7, 2025 saa 3:00 asubuhi katika hospitali ya Mzena jijini Dar es Salaam alipokuwa anapatiwa matibabu ya ugonjwa wa moyo.