Achomwa visu zaidi ya mara 10 na mumewe hadi kufa
Amina Hassan (34), mkazi wa mtaa wa Lukilini, Kata ya Kalangalala, amefariki dunia akipatiwa matibabu katika hospitali ya mkoa wa Geita baada ya kuchomwa visu zaidi ya mara 10 na mme wake usiku wa Agosti 30, 2022, na ameacha watoto wawili wa kike.

