Azam FC yapitisha panga ,bench la ufundi

Kocha Mkuu Hamid Moalin na Msaidizi wake.

Uongonzi wa Azam FC umefikia makubaliano na makocha wake wawili ambao ni Abdihamid Moallin na msaidizi wake Omary Nasser wa kuachia ngazi katika nafazi zao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS