Serikali kujenga kituo cha kupoza umeme Simiyu
Kutokana na changamoto ya kukosa umeme wa uhakika mkoani Simiyu serikali imetangaza kuanza ujenzi wa kituo cha kupozea umeme katika mkoa huo ambapo jumla ya Sh Bilioni 75 zimeelekezwa kwenye ujenzi wa mradi huo